Tiketi za basi Tanzania nzima, kwenye simu yako
Sheria

Faragha

Rasimu: maneno haya yanasubiri kukaguliwa kisheria.

Tunachukua taarifa za abiria kwenye tiketi: jina, simu, na kitambulisho kikitolewa. Zinatumika kutoa tiketi, kukutumia ujumbe kuhusu safari, na orodha ya abiria inayotakiwa kisheria kwenye basi.

Kampuni unayosafiri nayo ndiyo inayohifadhi taarifa hizi. Zinashirikishwa LATRA na TRA sheria inapotaka, na watoa huduma pale tu unapoagiza kwao.

Unaweza kuomba kampuni ionyeshe, irekebishe au ifute taarifa zako kupitia akaunti yako, au kwa kuipigia simu. Kufuta kunaondoa taarifa zako lakini kumbukumbu ya tiketi na malipo inabaki.